Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 727
- 1,211
Kuna sms zinazunguka zinatumwa na mtandao wa airtel ni za kingereza. Sma hyo imeandikwa hv Your application has been approved, the salary is 22000-45000TZS per day. Contact information: ORA HR
Ni wizi mtupu. Hizi hapa picha chini nkichat nao hawa watu
Tuwe makini na hawa watu
Ni wizi mtupu. Hizi hapa picha chini nkichat nao hawa watu
Tuwe makini na hawa watu