FURSA, FURSA WILAYA YA SAME -KILIMANJARO

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Wakuu wa maeneo ya Same msaada tafadhari.
Naomba kujua Kama Kuna maeneo wilaya ya Same kilimo Cha mpunga kinaweza sitawi.

Pia naombeni kujua fursa nyingine zilizo wilaya ya same na hasahasa maeneo husika
 
Kuna miundombinu ya kilimo cha mpunga huko juu Ndungu na bonde la Ruvu nferejini. Ila jiandae wanatumia nguvu za jadi, mila na desturi.
 
Huko ukilima mazao ya MAHUSIANO, MAPENZI na URAFIKI yatastawi sana..(Accordingly)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…