TANGAZO
Chuo cha kilimo na mifugo Kaole kilichopo Bagamoyo-Pwani chenye usajili REG/STA/021 kinapokea maombi kwa mwaka wa masomo 2019/2020- Chuo kinatoa kozi za kilimo na mifugo kwa ngazi ya cheti kwa miaka 2.
- Muombaji awe amehitimu kidato cha nne na kupata alama “D” nne, kati ya hizo mbili ziwe ni za masomo ya sayansi au awe amehitimu VETA kwa mafunzo ya kilimo au mifugo
- Chuo pia kinatoa kozi za kilimo na mifugo kwa ngazi ya Diploma kwa mwaka 1 na miaka 2.
- Muombaji awe amehitimu ngazi ya cheti kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE au kidato cha 6 kwa masomo ya sayansi na amepata Principle pass 1 na Subsidiary 1
- Kwa upande wa VETA chuo kinatoa kozi za mifugo na kilimo.
- Muombaji awe amemaliza darasa la 7 na kuendelea
- Aidha chuo kinatoa kozi za muda mfupi za komputa, Muombaji ni mtu yeyote mwenye uhitaji
- Chuo kinatoa mafunzo kwa nadharia na vitendo.
- Kwa watakaokaa ndani ya chuo hosteli ni bure na ada zetu ni nafuu kabisa
- Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0758 37 90 35, 0655 03 22 90 au 0687678882 au tembelea tovuti yetu www.kaolecollege.ac.tz