Fursa: Duka la M-Pesa linauzwa na line tatu

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,914
Reaction score
3,438
FURSA...
Duka la Mpesa linauzwa, lipo buguruni mnyamani.
Line tatu, mpesa, tigo pesa na airtel money zinauzwa kwa tsh laki 9.
Vitu vingine vya dukani maelewano.
Duka tayari lina wateja na utaoneshwa cash flow ya miezi iliyopita.
Kama una leseni utafanyiwa mchakato wa kubadilishiwa majina ya line.
Sababu ya kuuza duka ni kubadili biashara na kuwekeza kwingine.
Kama upo dar na unaweza kuchangamkia fursa hii tuwasiliane haraka kwa 0717396253.
Wahi mapema kama unahitaji fursa hii.
 
Ni vitu gani vingine vilivyomo humo dukan na weka bei kodi ya frame kwa mwezi na kodi imeisha au bado inaendelea vp eneo ilipo duka ni barabara kuu au ya mtaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
FURSA...
Duka la Mpesa linauzwa, lipo buguruni mnyamani.
Line tatu, mpesa, tigo pesa na airtel money zinauzwa kwa tsh laki 9.
Vitu vingine vya dukani maelewano.
Duka tayari lina wateja na utaoneshwa cash flow ya miezi iliyopita.
Kama una leseni utafanyiwa mchakato wa kubadilishiwa majina ya line.
Sababu ya kuuza duka ni kubadili biashara na kuwekeza kwingine.
Kama upo dar na unaweza kuchangamkia fursa hii tuwasiliane haraka kwa 0717396253.
Wahi mapema kama unahitaji fursa hii.

Makirita,wewe najua ni mtaalam wa mambo ya Fursa kwa vijana na ujasiriamali.
Maana nimekuwa nakuona sana TBC katika kipindi cha Amka na Badilika.
Hongera sana kwa hilo.
Haya tuje kwenye mada husika:-
Ni kweli Fursa nzuri kwa vijana.
Ila hembu tuweke wazi,duka linamuda gani tangu kufunguliwa.
Na je ni kweli mhusika anauza kw ania ya kubadilisha biashar tu?maana kama flow ipo nzuri anaweza kuuza kirahisi namna hiyo?
Sio mbaya kuuza hata kama flow sio nzuri,ila mnunuaji anaweza kuweka mbinu mbadala za biashara yake,lakini tujuze.
Na Je usalama upoje,maana maeneo mengi ya hapo ni balaa tupu.Na hii issue ya mammbo ya money transfers ni kama vile Bank ndogo.
Hembu tujuze pia changamoto za eneo husika.
Mwisho,ningeomba mhusika aweke na bei ya duka na vilivyomo.
Je Kodi analipa kiasi gani kwa mwezi?Na umeme ni wa kushare au unajitegemea.
 
Asante mkuu kwa kutaka kujua zaidi.
Ndio hii ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kufanya biashara hii au anayetaka kuingia kwenye biashara.
Duka hili limefanya kwa zaidi ya miaka miwili sana, hapajawahi kutokea tukio la wizi na ni eneo ambalo lina wateja tayari.
Mnunuaji atapewa taarifa ya fedha ya mwaka mzima, na atajionea mwenyewe.
Haya maduka yako chini ya kampuni na kampuni ina maduka 8 kwa hapa dar es salaam. Hivyo yanauzwa maduka matano ili kuhamisha mtaji huo na kupeweka kwenye biashara nyingine za kampuni.
Kodi ya pale ni laki mbili kwa mwezi na ni miezi sita. Umeme unachangiwa na ni sh elfu kumi kwa mwezi.
Gharama ya duka lote pamoja na vyote vilivyopo itakuwa milioni mbili ma elfu hamsini.
 
Nashkuru sana kwa maelezo yako mkuu.
Kweli bei rahisi,maana kama ingekuw ani mwezi nyuma basi ningeichukua ila tayari nimeingiza mtaji kwingine.
Lakini kwa taarifa,maana binaadam huwezi kujua leo upo na kesho utaamka vipi,naweza kukuta naamka na bingi,hahaha
Sasa kwa ufupi,duka na vyote vilivyomo ni kiasi gani,yaani ikiwemo na hizo lines?Yaani kiasi ambachomtu akitoa,uneondoka wewe kama ulivyo na kumuachia biashara.
Na kodi imebakia ya muda gani
 
Gharama ya duka na kila kitu kuanzia lines, simu zake, ferniture, bidhaa zilizomo za vipodozi inakuwa 2,050,000/=
Kodi inaisha mwezi huu, hivyo unaamza na kodi hiyo january.
 
Habari wakuu,
Duka limeshauzwa. Zimebaki line tatu, tigo, voda na airtel kwa atakayehitaji.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom