SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wadau tuchangamkie fursa ya biashara ya kuanzisha mortuary na majeneza hususani sehemu za mjini kama Arusha & Dar es Salaam, maana kila siku watu wanakufa na kama ujuavyo watanzania wakisikia kifo hutoa michango fasta fasta so uhakika wa kupata hela bila longo longo maana pesa ipo nje nje.
Hahahaha Funny but True. Hii biashara inalipa kinoma. Hasa hyo ya mortuary. Kuna jamaa namjua pale mortuary mwana nyamala anapiga hela kiimbwa. Yeye kaajira pale hospital/mortuary lakini kazi ya kuosha maiti unamtia Buku 50 akuoshee na kumvisha maiti nguo (Wafiwa wengi waoga na wanakua na huzuni so unajikuta unampa tu hyo hela jamaa akufanyie kazi). Unaambiwa jamaa kwa siku anaosha maiti sio chini ya 20. Anatengeneza 1 M kila siku kakosa sana laki 8 hyo ni nnje ya mshahara wake. Nilicho mnote jamaa mara nyingi anakua ameshtua kidgo na pombe. Hivi hivi hufanyi ile kazi.
Kuna biashara ambazo zinahitaji wito si mradi kufanya kwa ajili ya kupata pesa. Jambo la msingi kuna baadhi ya wengi wetu kinachowashinda katika biashara hiyo ni kuathirika kisaikolojia. Kumbuka kila siku ni kushinda unaosha maiti tu, ukilala zinakujia taswira mbalimbali za maiti ulizoosha siku hiyo na siku zilizotangulia papo hujui maiti gani na ya aina gani utakutana nayo siku inayofuata.
Hizi biashara zimekaa kichawi chawi, yani kifo cha mtu kwako kherii...
Heavy to handle.