puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,047
- 2,167
Habari za muda huu wanajamvi. Katika kipindi hichi Cha bwana magu...ajira zimekuwa ni mtihani Sana. Sio vibaya Mungu anapokubariki ukagawana ugali na wengine. Nikaona si vibaya kuikumbuka familia yangu ya JF.
Tumefungua saloon ya kisasa ya kiume ( Berbarshop).
Location: Dar es salaam - Sinza.
Wanahitajika wadada sita wa kazi katika vitengo tofauti.
Scrub - 3
Massage - 2
Usafi - 1.
Wanatakiwa wenye sifa zifuatazo.
1. Wawe wakazi wa Dsm jirani na ilipo ofisi ili kuepusha usumbufu na uzembe wa kutofika ofisini kwa wakati.
2. Wawe na muonekano mzuri, Katika namna ya kumvutia mteja kufanya huduma (sio kwa maana mbaya)
3. Awe anajua kuongea lugha mbili kwa ufasaha Kiswahili na Kingereza ( Tunapokea wateja wa aina mbali mbali kuna baadhi ni wageni toka nchi jirani)
4. Uzoefu katika kazi ( Lkn pia kwa upande wa scrub tunaweza toa short training, ila wa massage awe na ujuzi)
5. Nidhamu na Uaminifu ni kitu muhimu.
6. Umri ni kuanzia miaka ( 20 - 35)
Kwa mawasiliano zaidi.
0627929637 ( what's up no.)
Karibuni wenye uhitaji.