Furahiday!!!!! Keep Smilling

Furahiday!!!!! Keep Smilling

Kipindi hicho kakaangu Asprin

156640_10151301148980746_2004741820_n.png

:becky::becky::becky::becky::majani7:

vivian umeitoa wapi hii picha ya Asprin,na hapo kwa nyuma namuona Baba V na fulana yake ya mistaristari...
:confused2::confused2::confused2:
 
cacico ni mke wa ujana wangu, kwa kiswahili sanifu wapaswa kumwita wifi.:A S 100:
hubby njoo huku, nakungoja, nishavaa kile ki-dress ulichoniletea kutoka geneva! achana na vivian ye zake ijumaa tu! mwahhhh hubby wangu!
 
Last edited by a moderator:
hubby njoo huku, nakungoja, nishavaa kile ki-dress ulichoniletea kutoka geneva! achana na vivian ye zake ijumaa tu! mwahhhh hubby wangu!

Kumbe we wifi angu, lakini mbona kaka Asprin hajakuleta home. Angalia asiwe anakuingiza chaka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom