mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Habarini wakuu.....
Leo nataka niwaonyeshe jinsi nilivobadili mwonekano wa Huawei y300-100 yangu na kuifanya kua tam kama mcharoo.
Hizi ni app ambazo zitaipa feeling ya 4.4.4 sim yako ya android v4.0 na kuendelea best up to 4.4
Kuna app tatu ntawapa nazo zitasaidia sana mageuzi haya..
1) Kwanza tutaanza na kuinstall launcher. Zipo launcher nyingi sana ila kwa matokeo kama yangu unashauriwa utumie "SOLO LAUNCHER"
Launcher hii inaleta smooth looking kwa sim yako na kuifanya kuwa na looking flani Amaizing.
Solo Launcher Android App i
Ifuate hapo ishushe na uiinstall
2) Pili tutainstall Font pack. Wote tunajua default font inakua inaboa basi kupata mambo mazuri katika font zako download "Ifont hapa .. iFont - Expert of Fonts Android App alafu install na itarestart sim ili ichukue effects.
3)Kama kawaida tunatupia kitu cha app lock. Lazima tulock app zetu kuokoa mengi au sio? ��ila tunaitaji locker ambayo ni 0% opacity yaani haitovurugana na rangi ya background (hapa nazungumzia rangi itakayokua kwa io solo launcher).
Zipo locker nyingi ila leo nawapakulia linki ya ii apa "SMART APP PROTECTOR" ifuate hapa
Smart App Protector Android App i
nstall seti na maliza kazi.
Kwa kweli sasa sim yangu naona utam wake na inapendeza kwa kweli...
#mbwaHafiAkionaUfuko