Jamaa fulani alirudi nyumbani kwa huzuni mazungumzo yao yalikuwa hivi: MKE:Mbona leo una huzuni mume wangu? MUME:Ofisi yetu imeungua ni mimi,sekretari,mhasibu,bosi na mkurugenzi mkuu ndo hatukuwepo mi nilikuwa nimetoka nimeenda kujisaidia haja kubwa. MKE:Maskini ehee sasa hao familia zao itakuwaje? MUME:Kampuni itawalipa fidia kila familia Tsh. 50Milioni. MKE:Ona sasa kujisaidia saidia kwako umetukosesha hizo Milioni 50. MUME:!!!..................................JE, UNGEKUWA WEWE NDO MUME MKE WAKO KAKWAMBIA HIVI UNGEFANYAJE???....