Napenda Kuonesha Furaha Yangu Juu Ya Site Hii Kwani Nilikuwa Natafuta Mke Wa Kuoa! Kwasasa Niebahatika Kufanya Mawasiliano Na Akina Dada Wawili, They Are All Beautiful! My Hope Is That One Of Them Will Be Mine! Bado Nazidi Kuwafanyia Usaili Mmoja Ni Mmasai Na Mwingine From Moro! Siku Mipango Yangu Ikikamilika Nitawaalika Wana Jamii Forum Ili Tuenjoy Wote! Thanx Once Again! Weekend Njema! Nawapenda Sana!
Kuna reason hilo jarida la kikiristo limem take serious huyo comedian
mtu kuwa comedian hakumfanyi asiongee cha maana
kuna jf member anaitwa Gavana atakuja kukupa link
Popes accused of having male lovers during pontificate
- Pope Paul II (1464–1471) is popularly thought to have died due to indigestion arising from eating melon in excess, though a rumour was spread by his detractors that he died while engaging in sodomy.
- Pope Sixtus IV (1471–1484) was alleged to have awarded gifts and benefices to court favourites in return for sexual favours. Giovanni Sclafenato was created a cardinal by Sixtus for "ingenuousness, loyalty,...and his other gifts of soul and body", according to the papal epitaph on his tomb.
- Pope Leo X (1513–1521) was allegedly a practising homosexual, according to some modern and contemporary sources (Francesco Guicciardini and Paolo Giovio). He was alleged to have had a particular (albeit one-sided) infatuation for Marcantonio Flaminio
- Pope Julius III (1550–1555) was alleged to have had a long affair with Innocenzo Ciocchi del Monte. The Venetian ambassador at that time reported that Innocenzo shared the pope's bed.
List of sexually active popes - Wikipedia, the free encyclopedia
Papal infallibility - Wikipedia, the free encyclopedia
Good luck and bright future!!Napenda Kuonesha Furaha Yangu Juu Ya Site Hii Kwani Nilikuwa Natafuta Mke Wa Kuoa! Kwasasa Niebahatika Kufanya Mawasiliano Na Akina Dada Wawili, They Are All Beautiful! My Hope Is That One Of Them Will Be Mine! Bado Nazidi Kuwafanyia Usaili Mmoja Ni Mmasai Na Mwingine From Moro! Siku Mipango Yangu Ikikamilika Nitawaalika Wana Jamii Forum Ili Tuenjoy Wote! Thanx Once Again! Weekend Njema! Nawapenda Sana!
Kuna real Popes ambao in private walikuwa atheists
lakini walifanikiwa kuwa Roman Catholics Popes
Bill Maher Says Pope Francis Might Be Atheist
Wamejuaje?Ma pope karibu wote wanajua hakuna mungu.
Wamejuaje?
Wewe umejuaje kuwa wanajua?
nilitaka wale Popes ambao walikuwa atheists kwa siri
Walikuwaje ma atheists kwa siri kama inajulikana kuwa walikuwa ma atheists?
Umesoma mtiririko wa reasoning?
Umesoma historia ya Upapa?
Umesoma historia ya The Borgias?
Unajua maana ya jubu??
Ni wapi umeandika namna walivyojua hakuna Mungu?
Wapi umeandika ulivyojua uliyoandika??
Hahaaaaa daaah, yaani kaazi kweli kweli!
Unajua maana ya jubu??
Ni wapi umeandika namna walivyojua hakuna Mungu?
Wapi umeandika ulivyojua uliyoandika??
Jubu sijui ni kitu gani hicho, unisaidie kukuza msamiati labda.
Maswali yangu hujayajibu.
Jubu ni kiuno cha papa!!
Nilianza kukuuliza swali na hujajibu hata moja badala yake umeuliza
Unaehitajika kujibu ni wewe uliyeulizwa kabla
Tafadhali jibu acha longolongo!!
Nguru anahusikaje hapa?Umejuaje kama nilikuwa namzungumzia papa mtu au samaki?Kiuno cha papa kimefanyaje hapa? Watu tumeona kiuno cha nguru, nini cha papa!
Yakowapi hayo majibu?Majibu yangu yatahusisha references kwenye historia ya The Borgias na Machiavelli sasa kama hujapandisha hata kidogo tu mambo hayo, majibu yangu yatakuwa sawa na kutokukujibu.
Ndiyo maana kabla ya kujibiwa umepewa prerequisites hapo.
Siwezi kuanza kukufundisha Euclidean geometry kabla ya kuanza kukueleza core Euclidean axioms and principles.
Wewe unataka tuingie kwenye kujadili geometry wakati hata core principles hujazijua.
Ukweli ni kwamba, si tu hawa mapapa walikuwa atheists, bali pia hata watu wengi wanaojiita "wakristo" leo, kwa kutumia definition ya "wakristo" kama watu wanaomfuata yesu kristo, ni wakristo jina.
Matendo yao yako mbali kabisa na ukristo.
Nguru anahusikaje hapa?Umejuaje kama nilikuwa namzungumzia papa mtu au samaki?
Yakowapi hayo majibu?
Inaonekana hata hujui swali langu lilikuwa linahitaji majibu gani
Sijakuuliza kuhusiana na Wakristo
Maswali yangu hujayasoma?
Au hujui kusoma?
Au unasoma na huelewi?
Mwandishi wa "The borgias" hayupo hapa na wewe ndie uliyeandika hapa kuhusu hiyo kitu
Mwandishi wa Machiavelli hajaandika chochote hapa ila Kiranga ndio kaandika hapa
Wewe ndie unadai umewasoma na ndiko ulipotoa hayo maelezo kuwa hao mapapa wanajua kuwa Mungu hayupo
Wewe uliyewasoma ndie ninakuuliza wamejuaje ili uuweke hapa huo ujuzi
Hujafanya hivyo na unaleta longolongo tu hapa
Nimekuuliza kuwa wewe umejuaje kuwa hao wanajua kuwa Mungu hayupo huajibu naona unaleta ngonjera tu hapa
Inawezekana kabisa hata kuelewa hicho unachodai kukisoma hujaelewa ndio maana ukafikia hitimisho ambalo umeshindwa kulitetea kwa fact na uthibitisho
Huenda wenzako wamesema walionana na Mungu wewe ukaelewa kuwa walionana na misukule,ndio maana tunahitaji utuletee huo ujuzi uliosema wanao ili nasi tuuone
Kudai tu sijui akina machiavelli au the borgias hakuwezi kumfanya yoytote yule akatafuta hizo hadithi na kuzisoma kama wewe umeshindwa kutuambia hapa kuna nini kwenye hizo hadithi na kututhibitishia kama hicho ilichokisema kina ukweli au ni ndoto zako tu
Jibu maswali yangu acha longo longo ...!!!!!!!!
Unfortunately you do not meet the minimum prerequisite to enroll in this class.