Rodneysamantha
Member
- Jan 21, 2014
- 8
- 1
kumbe yawezekana !!!! feedback muhimu sana
Kwani kutongoza inahtaji miaka mingapi ukubaliwe?Join date 21st Jan 2014.........Am just saying.
Imani inaamisha milima
Safi ila uyo mmasai piga pasi uku basi jemedari wANgu
Join date 21st Jan 2014.........Am just saying.
Oh please!! Five days??Kuna watu kazi yao ni kudeal na pm tu wakati we unakomaa kubishana huku ye kambananisha mtoto pm.
Kwani kutongoza inahtaji miaka mingapi ukubaliwe?
Aisee...
wewe bado single?