Podari imezidi
Weeeeeeeh! thubutu hapo furaha mchana ikifika jioni kibano kwa makosa yote ya mchana. 1. Kula kwa watu 2. Kuchafuka kiasi hicho............ adhabu=kuogeshwa maji ya baridi (Tukuyu, Njombe, Arusha n.k) 3.Kuchelewa kurudi nyumbani 4. Kutukana 5.Kuomba hela kwa wageni n 6.Utoro shuleni 7.Kutofanya Homework... Hapo bakora kwenda mbele.
Mtihani ukija unakuwa wa 40 kati ya wanafunzi 40. Tehe tehe teheee!wow nimekumbuka utotoni.......hapo tukijua ndo mida ya baba kurudi kunarun home kisha tunanawa miguu tunachukua madaftari wote full utulivu, mshua akifika anajua tumetulia tunapata skuli hehehehehhehe
uchadema na uccm mapema.
[/QUOT
HIZI NDIZO PICHA ZA UKUMBUSHO. WATOTO WAKISHUA HUWA HADI WAPAKWE LIPSHINERS WAFUNGESAFARI HADI PHOTOPOINT WAKIKUA WANASAHAU KAMA WALIWAHI KUCHEZA KWENYE VUMBI.