duuh sawa ally amefaidiiSio majina tu, tunajuana kila kitu
hamna namnaaHe he na ww umeamua kumwita kwahiyo na ww mnajuana eenh
AhsanteSijachelewa
Happy birthday my friend.... Mungu wetu mwema akupe afya njema ya mwili na roho
Naamini unafurahia siku yako


chiqutittaAhsanteHappy birthday beberu Wa mwituni, maisha marefu kwakoo



nashukuru mno financial services japo hujibu PM zangu 













Hayo mambo waachieni wadada na watoto wetu... Inabidi mwanaume ufurahi pale unapoona una familia bora na watoto na mke ana furaha...Unafurahia kuongeza umri ulioishi duniani
Beberu wewe, uongoo hujatuma pm
