Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,071
Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda,

Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha.

Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako.
Chagua Vitu ndo vie kipaumbele chako.

Pesa iwe ya kwanza maana itakupq Vitu utakavyo, pia Binadamu watakuja kwako, ila siku pesa ikiondoka nao wanaondoka
 
Kama furaha yako inategemea pesa the same thing ikiisha ni sawa na hao watu wakiondoka unabaki kwenye huzuni ile ile
 
Ni heri kutegemea furaha kutoka kwa Mungu na pia kama ulivyosema ukiwa na mali ujipatie furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…