furaha ya kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Kuna ANASA kubwa sana unaishi nayo sasa hivi bila wewe kujua. Ukweli huu utabadili mtazamo wako wa maisha!

    Habari zenu wana JamiiForums. Maisha yanaweza kuwa magumu kwa sasa, na huenda malengo yako makubwa ya kifedha bado hayajatimia. Lakini kumbuka, asilimia kubwa ya mambo unayoyaona ya kawaida kwako leo, kuna mtu yuko mahali anamlilia Mungu ayapate hata kwa sekunde moja. Unajua katika ulimwengu...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli hupatikana ndani ya akili na moyo wako

    Zingatia: Furaha ya kweli 📌 Kuna wakati tunadhani tukipata pesa nyingi, nyumba nzuri, gari la ndoto au mafanikio makubwa ndipo tutafurahi. Lakini ukweli ni kwamba vitu vya nje vinaweza kutupa raha ya muda, si utulivu wa kudumu. Pesa ni muhimu. Zinatoa uhuru wa kuchagua, zinatatua changamoto...
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika namba 12 kwenye orodha ya nchi 30 ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi duniani

    Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12 30 Unhappiest countries in the world 1. Afghanistan 🇦🇫 2. Sierra Leone 🇸🇱 3. Lebanon 🇱🇧 4. Malawi 🇲🇼 5. Zimbabwe 🇿🇼 6. Botswana 🇧🇼 7. Democratic Republic of the...
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe

    Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda, Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha. Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako. Chagua Vitu ndo vie...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli haipo katika kutafuta pesa ukitafuta pesa hautoshiba pesa

    "Money is numbers and numbers never end..." – Pesa ni kama namba, na namba hazina mwisho. – Ukiikimbiza pesa tu, kamwe hautaridhika — daima utataka zaidi. "If it takes money to be happy, your search for happiness will never end." – Kama furaha yako inategemea pesa, basi hutawahi kuwa na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Furaha ya Kweli haiji kwa ku Boost na Pombe au ulevi. Furaha ya kweli haihitaji Gharama

    True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi. 1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali 2. Watu...
  7. Soul21

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutoa kwa kile kidogo ulicho nacho

    Safari ya kutafuta furaha ya Kweli. RATANJI TATA: Bilionea wa India Ratanji Tata alipoulizwa na mtangazaji wa redio katika mahojiano ya simu: Bwana, unakumbuka nini ulipopata furaha zaidi maishani? Ratanji Tata alisema: Nimepitia hatua nne za furaha maishani, na hatimaye alielewa maana ya...
  8. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Hakuna furaha ya kweli anayoipata masikini, umasikini ni nyumba ya huzuni

    Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma. Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...
Back
Top Bottom