Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,065
Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda,
Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha.
Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako.
Chagua Vitu ndo vie kipaumbele chako.
Pesa iwe ya kwanza maana itakupq Vitu utakavyo, pia Binadamu watakuja kwako, ila siku pesa ikiondoka nao wanaondoka