FURAHA YA KUSHINDA UJANGILI (Pichani)

FURAHA YA KUSHINDA UJANGILI (Pichani)

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,110
Hii yote ni furaha ya kushinda vita ngumu ya kupambana na majangili. watu tunapiga kazi si nyie UKAWA mmeakalia domo tu
 

Attachments

  • nyalandu.jpg
    nyalandu.jpg
    32.2 KB · Views: 774
hii furaha kwa kweli wanastahili maana unajua majangili ni watu wabaya sana aisee, wanaua tembo wetu ovyo
 
bora mh nassar kamchana bungeni.ndo nini hivo? kwa hiyo hata walimu wanafunzi wao wa jinsia tofauti wakifaulu wawafanyie hivo?
 
watanzania acheni mawazo potofu kwani kuna tatizo gani katika hiyo picha? hebu fanyeni kazi achaneni na majungu na umbea
 
viongozi wetu kuna wakati mnawapa cha kusema hawa wapinzani. Sasa hivi ndo nini Mheshimiwa, hivi mkeo anajisikiaje hapo alipo? Faraja kweli ana kazi
 
Inatia huzuni sana jamani,. hivi kweli hapa Mheshimiwa aliwaza nini hasa? Daah waTanzania bado tuna safari ndefu mno
 
kwa kwel viongozi tunao, tena peupe kabisa anambeba mdada wa watu. Hiv kama huyo vdada ndo ameoilewa mumewe anajisikiaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom