lazima ujiongeze pia....huyo baba alifanya kwa upendo ila risk ipo ukifa ye atakaa bilakuolewa kwani.? na akiolewa itakuwaje...je watoto wamepewa nini hapo....aisee si sawa kwangu kumpa kila kitu lazima mali zingine kwa watoto maana akili za wanawak wengine sio kabisa.....alikuwa anauza vitu kisa anagegedwa na jamaa....yani shidaWanasema hakuna aijuaye kesho na wanaume tunapigana kutafuta mali sio kwa ajili yetu bali watoto wetu wakati mwingine unatafuta kwa nguvu zote ukijua kesho hutakuwa juu ya uso wa dunia hii hivyo mali hiyo itumike kuwaendeleza watoto wako.
Kuna kisa kimoja kimetokea kwa mke wa rafiki yangu nacho ni hiki;
Mwaka juzi rafiki yangu alipata ajali akafariki lakini alikuwa ameacha mali nyingi tu ikiwemo nyumba mbili viwanja vitatu na magari mawili ya kutembelea na fuso mali zote alimrithisha mke wake walikuwa wamezaa watoto wawili, baada ya muda yule mama alipata mwanaume mwingine wakatumbua zile mali kimya kimya uza viwanja uza nyumba uza magari ndugu wa mme kushtuka anauza nyumba ya mwisho akahamia kwa huyo mwanaume wake baada ya muda wakashindana akarudi kupanga ninavyoandika hapa dada yupo mtaani kupanga kachoka vijana wanafanya yao watoto wanaishi katika hali ngumu sana wametoka shule nzuri wapo elimu bure lakini baba yao aliacha mali nzuri na kama ingelipata mtu makini ingeliwaendeleza mpaka wajitegemee, kwa tukio hili nimejifunza kitu mwanamke sio wa kuamini kabisa lakini pia sisi wanaume tuna la kujifunza hapa, je mali zako ni sahihi kumkabidhi mkeo?
Je, ipi nzuri itumike ili kama ikitokea haupo duniani mali hizo zitumike kuwasaidia watoto wako maana hakuna aijuaye kesho..
huyu dada ni mwehu na mjinga kati ya wajinga ni akili ya mtu bwana sio wote wapo hivo - kweli kabisahuyu mke alikua after money na mali alizoachiwa haiwezekani mke una watoto ukafanye huo upuuzi hua nawasifu sana wanawake wanaofiwa na waume zao baada ya kumaliza eda au hata wakat mwingine kuolewa tena me siwezi hii kitu Mungu bwana hafundishwi sasa angoje watoto watakua wataelewa yote sjui huko mbele wataishije na mama yao kama si kuekeana visas moyoni. huyu dada ni mwehu na mjinga kati ya wajinga ni akili ya mtu bwana sio wote wapo hivo
umeona ehhuyu dada ni mwehu na mjinga kati ya wajinga ni akili ya mtu bwana sio wote wapo hivo - kweli kabisa
sijui aana uelewa wa aina gani hata kama mapenzi sio kihivo....uboya huo kawalostisha watoto ....kwanza huyo mwanaume lengo ni kuvuna tu mipesaumeona eh
Watoto ni wadogo chini ya miaka mitano alifanya akiamini mke wake ataweza kuwatunza vizurilazima ujiongeze pia....huyo baba alifanya kwa upendo ila risk ipo ukifa ye atakaa bilakuolewa kwani.? na akiolewa itakuwaje...je watoto wamepewa nini hapo....aisee si sawa kwangu kumpa kila kitu lazima mali zingine kwa watoto maana akili za wanawak wengine sio kabisa.....alikuwa anauza vitu kisa anagegedwa na jamaa....yani shida
na ndio kishavuna na kamkimbia nawaonea huruma watoto tu huyu tahira acha dunia imfunzesijui aana uelewa wa aina gani hata kama mapenzi sio kihivo....uboya huo kawalostisha watoto ....kwanza huyo mwanaume lengo ni kuvuna tu mipesa
so saad lakini mama alikuwa mpumbavu hakuwana hekima kaibomoa nyumba kwa mikono yake mwenyeweWatoto ni wadogo chini ya miaka mitano alifanya akiamini mke wake ataweza kuwatunza vizuri
Wanaume wengi na sijasema wote wanaojitosa kwa mijimama ni kuvuna tu hakuna namna na wanawake wakiongozwa na genye watabamizwa tu hakuna namnasijui aana uelewa wa aina gani hata kama mapenzi sio kihivo....uboya huo kawalostisha watoto ....kwanza huyo mwanaume lengo ni kuvuna tu mipesa
hakuna namna nyingineWanaume wengi na sijasema wote wanaojitosa kwa mijimama ni kuvuna tu hakuna namna na wanawake wakiongozwa na genye watabamizwa tu hakuna namna