Weka picha yake ileee[emoji90]Akiwa cuf aliwaponda sana cdm pamoja na ccm kuwa ni vyama kibaguzi ,cdm ni ccm b mala oh cdm wanaukabila,wabaguzi ,muda kidogo akajenga urafiki na baadhi ya viongozi wa cdm mambo wakawa kimyaa!!!,mgogolo wa vingozi ndani ya cdm ulio sababisha baadhi ya viongozi kujiengua na kujiunga na chama cha act ulikuwa na faida kwa afande nae kavaa viatu vya act hapo hapo cuf ,cdm wakawa wabaya mashambulizi yakaanza kama kawaida ,vijana wa cdm hakukubali nao wakaanza kumshambulia tukaanza kuona na zisizo na maadili za afande, kwa afande act kikawa lulu nahasa baaada ya chama kumzawadia nafasi ya kugombea ubunge.uchaguzi umeisha matalajio yamefeli act wamekuwa wabaya tena kwake ,chakushangaza zaidi amepata wafuasi kutoka kwa wale waliokuwa wakimshambulia na kutuma picha zake za ovyo
Weka picha yake ileee[emoji90][/QUOTE]
Hii sio Siri ,suala la kusema act tawi ccm sio siri, kuambiwa amshabulie rowassa, chama hakieleweki, kimekosa dira ni aina furani ya malalamiko.Hapo kuna vitu tofauti kaponda vyama kama cdm,ccm na cuf kwa kutoa maoni Ila kwa ACT ametoa siri ya ACT kwamba ni kibaraka wa ccm.
Hii picha ilitupiwa humu na vijana wa Lumumba wakati ule Sele alipotangaza nia ya kugombea ubunge wakati bado yuko Chadema, na alipohamia ACT Chadema waliamua kumpotezea tu.
Siasa za Tanzania ni za matukio na si masuala......upuuzi hupewa nafasi kwa kiwango cha bombardierAkiwa cuf aliwaponda sana cdm pamoja na ccm kuwa ni vyama vya kibaguzi ,cdm ni ccm b mala oh cdm wanaukabila,wabaguzi ,muda kidogo akajenga urafiki na baadhi ya viongozi wa cdm mambo wakawa kimyaa!!!,mgogolo wa vingozi ndani ya cdm ulio sababisha baadhi ya viongozi kujiengua na kujiunga na chama cha act ulikuwa na faida kwa afande nae kavaa viatu vya act hapo hapo cuf ,cdm wakawa wabaya mashambulizi yakaanza kama kawaida ,vijana wa cdm hawakukubali nao wakaanza kumshambulia tukaanza kuona na picha zisizo na maadili za afande, kwa afande act kikawa lulu nahasa baaada ya chama kumzawadia nafasi ya kugombea ubunge.uchaguzi umeisha matalajio yamefeli act wamekuwa wabaya tena kwake ,chakushangaza zaidi amepata wafuasi kutoka kwa wale waliokuwa wakimshambulia na kutuma picha zake za ovyo
Weka picha yake ileee[emoji90]
Afande kawashika vibaya act