Nahitaji hiyo fumula ya kutengeza niko mbali
mkuu nashukuru kwa elimu nzuri ,lakini em solution napata wapiFunza wanaweza kupandwa ukitumia mbinu rahisi na hutumiwa kama nyongeza katika lishe ya vifaranga wadogo.
Hivi ndivyo inavyo fanywa.
1. Changanya damu na matumbo ya mnyama(kwa mfano ng’ombe ama mbuzi) na samadi ya ng’ombe katika chungu kikubwa kilicho wazi.
2. Jaza chungu na 1/3 ya maji.
3. Nzi watataga mayai yao katika mchanganyiko huu na funza wataula.
4. Kiache chungu wazi wakati wa mchana na kifunike wakati wa usiku.
5. Funza wakiwa wakubwa,wakusanye kwa kumwaga maji pole pole kwenye chungu.
6. Funza wataelea na unaweza kuwaosha na kuwalisha kwa ndege moja kwa moja.
7. Kumbuka kukiweka chungu mbali na maeneo ya umma kwani hunuka sana.
Kwenye namba 7; hapo ndo unapotakiwa kutumia Em solution ambayo kazi yake ni kuwakuza haraka na kukata harufu mbaya.
Hii naiona ni rahisi zaidi, asante mdau.Kwa uzoefu wangu:
Chukua kinyesi cha Ngombe kisha weka kwenye gunia mwagia maji kila siku asubuhi na jioni baada ya siku saba geuza gunia utakuta funza wa kutosha kwa ajili ya kuku wako. ukiwa na gunia 10 utakuwa umepunguza gharama za chakula kwa kiasi kikubwa sana.
kwa mahitaji ya vifaranga wa kuku wa kienyeji, Kanga na bata mzinga karibuni napatikana Mwanza 0752093038
Mwanza sehemu gani naitaji kuku 0763370175Kwa uzoefu wangu:
Chukua kinyesi cha Ngombe kisha weka kwenye gunia mwagia maji kila siku asubuhi na jioni baada ya siku saba geuza gunia utakuta funza wa kutosha kwa ajili ya kuku wako. ukiwa na gunia 10 utakuwa umepunguza gharama za chakula kwa kiasi kikubwa sana.
kwa mahitaji ya vifaranga wa kuku wa kienyeji, Kanga na bata mzinga karibuni napatikana Mwanza 0752093038
Hellow chasa...em naomba hyo formular mkuuNina manual yakeya kuzalisha kwa ajili ya comercial, yaani unazalisha kwa ajili ya kuuzia viwanda vya kutengeneza chakula cha mifugo hasa kuku, Nguruwe na Samaki
Hahahaaaaa aisee kweli akutake radhi mkuuNitake radhi
Hapo utapata minyoo myekundu na sio funza; japo nao wanaliwa na mifugoKwa uzoefu wangu: