Nitake radhi
Nitake radhi
Nitake radhi
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko nitawatumia vichanganyio na fomula ya namna ya kutengeneza.
Mimi nahitaji sana.Nakupataje?Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko nitawatumia vichanganyio na fomula ya namna ya kutengeneza.
Je! EM solution inapatikana hapo ulipo?naomba hiyo formula
Hiyo em solution ndio nini na inapatikana wapiJe! EM solution inapatikana hapo ulipo?
Kama inapatikana, chukua em solution, changanya na mabaki ya uchafu wa jikoni yanayooza. After 3/5 days utakuta funza wa kutosha tena wenye afya, ambao wanawapa mifugo protein ya kutosha. Kwa maelezo zaidi kuhusu upatikanaji wa em solution, tuonane kunako PM,