Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Kasome vizuri katiba mbovu ya 1977 ibara ya 51 (2).
Hakuna tetesi hapo, akili ya tetesi changanya na zako
 
Haiwezekani kabisa maana katiba yetu hairuhusu.
 
Kasome vizuri katiba mbovu ya 1977 ibara ya 51(2).
Hakuna fununu hapo, akili za fununu changanya na zako
 
Mbowe waziri mkuu??? Tutaandamana kupinga. Mtu anayeweza kuuza chama ili apate pesa aweza pia kuuza nchi tena rais akiwemo ndani. Mbowe uwaziri mkuu haiwezekani

 
Rais atapendekeza Waziri Mkuu kutoka kwenye wabunge wenye wabunge wengi.
 
hawezi kujaribu japo mbowe rafiki yake
 
Mbowe waziri mkuu??? Tutaandamana kupinga. Mtu anayeweza kuuza chama ili apate pesa aweza pia kuuza nchi tena rais akiwemo ndani. Mbowe uwaziri mkuu haiwezekani

Mbowe hawezi kuwa waziri wa serikali ya magamba
 

Dogo unaijua na kuielewa katiba ya nchi yako.
 
Matokeo ya uchaguzi mkuu huu yamewafanya baadhi ya watu kuwa paranoid.
 
Amteue huyo aliyeuza chama chake ili aje auze serikali?
 

Elimu Elimu Elimu
 

Duu wisho utasema na diamond platnum kuwa waziri wa ulinzi
 
Nawakumbusheni kua Mabadiliko yako palepale pamoja na yote yaliofanyika mpaka sasa. Wenye Masikio na wasikie.
Msiogope Enyi mlio-onewa na Kudhihakiwa.
Hakika mtafurahi na kushangilia.
Wakati ndio utakaodhibitisha hilo.
 
Anampa Katibu Mkuu kiongozi ili iwe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…