Bira kwislit gwalay un kala'
dena hedda, aloe!!!!Bira kwislit gwalay un kala'
Kama kuna mtu una fununu kuwa anatembea na mke/mume au mpenzi wako, basi jifanye unampa stori mpenzi wako kuwa kuna Daktari alikuwa anakupa taarifa za watu walioathirika na ngoma kisha mtaje na mwizi wako, halafu mtazame kwa umakini asipostuka basi hujaibiwa. Ila akionesha mshtuko jua imekula kwako.
Mapendo,
Tanmo.
Aaah fujosi mek hare ga muxaxin'ka