Funny Multi Purpose CAR

awesome ..

sasa hiyo ni nini chini ya helicopter ?
 
viper naona una kichaa cha magari....

sasa hili na lile la mchina unachagua lipi?????
 
doooooooooh...............hamjaona jamaa wamephotoshop kiadobe adobe hapo,haihitaji certificate ya computer course kuliona hilo!!!!!
 
hahahaaa, sisi ni wagunduzi wa kuwaibia wananchi na kuandika proposal nzuri za kuwavutia wahisani na slogani taaamu kama naninihiii lakini kwenye mambo kama hayooo...mhhhh, aah ningesahau, kingine tunachoweza ni uchawi, fitina na siasa uchawara...................
 
Aisee hiki kwa kubebea maparachichi kimekaa mahali yake sana .Mzigo ngapi huu mkuu Viper ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…