Funny in reality

Funny in reality

MOST WANTED

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
209
Reaction score
178
CKIA CMU KUTOKA U.S.A
OBAMA: vp dogo mambo yanaendaje?
KiKWETE: poa kaka shikamoo!
OBAMA: marahaba dogo! Dogo yule
raisi wa china kafuata nini huko?
KiKWETE: kaja hutubia kaka!Obama:
kwani kwao hamna majukwaa?
KiKWETE: yapo sema nini ameniletea
hela kidogo za kujengea ukumbi wa
mikutano!
OBAMA: cheki dogo mlivyo mafala
yani miaka 50 ya kujitawala bado
hamjajenga hata ukumbi wa
mikutano! Halafu nimesikia kakupa
mikataba mingi usaini inahusu nini?
KiKWETE:kaka mi mwenyewe siielewi
kwa sababu yote imeandikwa kichina!
OBAMA : angalia dogo usije kuuza
mali zangu bila kujua!
KiKWETE: hapana kaka mali zako zipo
salama!
OBAMA: haya dogo, mwezi wa sita
nakuja kukagua migodi yangu, mipaka
ya kigamboni na gesi mana nasikia
nyani wako wanaandamana kisa gesi!
Kikwete: nitajitahidi kuwatuliza kaka,
ila uje na hela za kuwapoza!
OBAMA: powa dogo ila jitahidi gesi
ije dar yote hapana kuwaachia kule!
KiKWETE: haya kaka ila uniletee na
hela nataka nijenge bandari
bagamoyo!
OBAMA: bandari ya nini wakati ya dar
inayenyewe inakushinda au unataka
maujiko kwenu?
Alafu na ile serengeti
national park naitaka
iwe yangu!
KIKWETE; kuhuxu ilo ucwe na tatzo na
ntakupa na zanyiongeza kama
mikumi,manyara na ruaha maana
wenzangu wanawachukua wanyama
wanapga pesa xaxa ngoja niziuze
niwakomoe.
OBAMA; Haya dogo
ntakuja na midola
mxalimie shem
KIKWETE; Xawa kaka!
 
Inabidi kuwa mwangalifu sana unapotania viongozi wa nchi! Hutakiwi kwenda mbali na ukweli. Kwa mfano: Obama hawezi kumwita Kikwete 'dogo' Atamheshimu kama rais wa nchi na kumwita Mr. President. Pia Kikwete hawezi kujinyenyekesha kwa Obama kwa kumwambia 'ndio kaka', sanasana atamwambia 'ndio mheshimiwa.' Mimi naona umewadhalilisha hawa viongozi hasa Kikwete!
 
Back
Top Bottom