look at them... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

look at them...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by NILHAM RASHED, Dec 20, 2010.

 1. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna hospital moja ya vichaa ilikuwa imeishiwa dawa za kuwapima vichaa akili zao kama wamepona, ikabidi doctor achore alama ya mlango ukutani halaf akawaambia wale vichaa "ATAKAE WEZA KUPITA HAPA AKAONDOKA HUYO ATAKUWA AMEPONA ANARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI" basi wale vchaa wote walivyosikia vile wakaanza kugombania kupita ktk ule mchoro, kuna kichaa m1 yeye hakwenda kugombania akabaki anawatizama pemben huku anawacheka wenzie yule Dokta akajua pengine huyu kishapona akamuuliza "WE UNACHEKA NINI?" akamjibu dokta "NAWASHANGAA HAO WANAGOMBANIA KUTOKA NJE WAKATI FUNGUO NINAYO MIMI"
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  ahaaaaaaaa.......mi mwenyewe nilijua kapona? ahahhaaaaa
   
Loading...