Fungukeni macho

wazazi wameshafariki ....wacha waponde raha...
 
Kama ni milioni mama anapata elfu 40, muongezee kidogo iwe 5%. Ha ha ha
Mkuu hiyo asilimia nne ni nje ya mahitaji mengine yanayoibuka katika hapo. Ila pia kipato ni zaidi ya milioni moja

Aisee safi sana. Nimepndezwa sana na mpango huu.
Asante Mkuu, na mimi nilijifunza kwa watu wengine zamani sana ndio na mimi nikauona ni mzuri

Nimeguswa sana na mada hii!
Wazazi ni kila kitu humu duniani!
Ni mada nzuri sana
 
Mkuu hiyo asilimia nne ni nje ya mahitaji mengine yanayoibuka katika hapo. Ila pia kipato ni zaidi ya milioni moja

Asante Mkuu, na mimi nilijifunza kwa watu wengine zamani sana ndio na mimi nikauona ni mzuri


Ni mada nzuri sana

Nimeelewa brother,vizuri sana kwa kumjali mama. Utafanikiwa sana
 

embu kwanza weka hapa picha ya nyumba ya mzazi wako kisha turirike usikute na wewe mzazi wako anaishi kwenye tembe.
 
Itabidi unifundishe mkuu,Mie dingi yangu mchaga na mama mnyakyusa. Ila sijui kichaga sababu nimekulia kwa mama pia si Tanzania.

Hatuchekani sana, japo maji naweza kuomba
 
mwisho wa siku unaingia kwenye kiota kama ndege.....mara moja moja sio mbaya mkuu ukiendekeza hiyo sehemu inapoteza mwelekeo
kwa mwezi lazima ufanye furugu mara moja mpaka watu waseme basi.
Nalog off
 
Ni kweli mkuu wengine ukiwaona wazazi wao nguo wanazovaa hadi huruma aisee. Kina kaka badilikeni manake wadada wamefanya mengi ukilinganisha na wakaka. Boresha mazingira ya nyumbani , ingawa kuna wazazi wakorofi. Jitahidini kujinyima bia 2 kwa siku, mazingira bora inawezekana chukua hatua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…