Nimeikuta sehemu hii.
Vijana hebu jifunzeni, mama alokuzaa anastahili kuishi mahala pazuri kama wewe una uwezo! Acheni ujinga wa kununua altezza, kutanua kwenye majumba ya starehe wiki nzima, kula kwenye restaurant za maana, kuhonga mademu simu, kununua viwalo vya bei mbaya wakati mama yako mzazi anaishi kwenye nyumba ya kiwango duni! Ndo maana kila leo mara altezza imeingia mtaroni, mara simu imeibiwa, mara demu ulomgaramikia kaku-dump, mara umetuma pesa kibao kwenye wrong number and the like mishaps...,ni laana ya kuacha mama mzazi na maisha duni huku we ukitanua mjini. Fungukeni macho vijana esp wa kiume!
The truth shall set u free.
Kwani nyie wanawake mnaoishi peke yenu hamtakiwi kuwahudumia wazazi wenu..???Zamu yenu wakaka/wanaume imefika, ngoja na nyie tuwape vidonge vyenu na mjitahidi kweli kuvimeza kama sie tulivyovulimilia kuvimeza. Na ndio imeanza hivyo!
mi nitaanza kubadilika naomba maombi yako.Hili tatizo liko kwa wanaume sana kusahau kwao,,,, hope watabadilika!.
Ila kujenga heshima bara kuna raha yake asikwambie mtukweli wazazi wanastaili kuboreshewa sehemu wanazoishi wengine wanajenga heshima bar mazingira walikotoka aibu tupu mabadiliko yanahitajika
20% inamuhusu hii....Nimeikuta sehemu hii.
Vijana hebu jifunzeni, mzazi alokuzaa anastahili kuishi mahala pazuri kama wewe una uwezo! Acheni ujinga wa kununua altezza, kutanua kwenye majumba ya starehe wiki nzima, kula kwenye restaurant za maana, kuhonga mademu simu, kununua viwalo vya bei mbaya wakati mzazi wako anaishi kwenye nyumba ya kiwango duni! Ndo maana kila leo mara altezza imeingia mtaroni, mara simu imeibiwa, mara demu ulomgaramikia kaku-dump, mara umetuma pesa kibao kwenye wrong number and the like mishaps...,ni laana ya kuacha mzazi na maisha duni huku we ukitanua mjini. Fungukeni macho vijana esp wa kiume!
The truth shall set u free.
mi nitaanza kubadilika naomba maombi yako.
Nalog off