Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Mkuu usiwe na wasi wasi....nataka nimfundishe hisabati....si unajua kuwa ni ugonjwa wa taifa.....
Nimeamua kujitolea kwa huyu....

Ondoa shaka....
Hahaha mkuu umenichekesha sana. Me nampenda mzoefu wa mambo "Lara 1" najua huyu ni mkubwa mwenzangu over 18
 
Hivi kumpenda MTU bei gani? Au ukimpenda MTU unampunguzia nn? OK naanza kutaja
1.miss natafuta
2.faizafoxy
3.miss chaga
4.jovitha
5.yule mwenzie na nanilii the nanilii the.. the
 
Kumpenda MTU ni kitu uncontrollable, imagine nampenda mtu na jina lake,...... just imagine. What if we be a couple,
Jovith & Jovitha
♧♧♧♧♧♧♤♤♤♤♤♤✹✸✶✮✮✻❥❥❥❤❤❤❤❦❦❦❦❦❧❧❧❧❧♡♡♡ ❴⑩×⑩❵%︾︾『 ‰』
 
Kuna kabint nakalia rada apa kuna siku nitakatokezea kameweka cm skioni kananipigia sema sjajipanga kukaripotia ukweli nw.

Kanaitwa kashesho yan
Kwake nimegongomelewa misumar kabsa sjanasa
 
Kumpenda MTU ni kitu uncontrollable, imagine nampenda mtu na jina lake,...... just imagine. What if we be a couple,
Jovith & Jovitha
♧♧♧♧♧♧♤♤♤♤♤♤✹✸✶✮✮✻❥❥❥❦❦❦❦❦❧❧❧❧❧♡♡♡ ❴⑩×⑩❵%︾︾『 ‰』
aseee
 
Back
Top Bottom