Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Kweli mkwe.
and family is the best thing that can happen to anyone. Waswahili wanasema mchuma janga hula na wa kwao
nimejifunza kuwa mwema kwa watu wote maana unapoanguka anaweza kukuota mwingne tofauti na uliyetarajia.
 
Nimejifunza, solve your problems by becoming richer, demeeeet!!!!
 
Mmh, nipo bwana sasa hivi namfulia paw na mzee Mtambuzi hapa. Yaani kuwa working class sio mchezo manake hapa mshahara ni ugali, nanihii na baraka za mshua.

ntakuja mpwapwa kula zile nyama mbichi
umeona eeeeh!! vipi bado unaosha vyombo huko?
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza maisha sio kitu rahisi! Kujituma na kuishi kwa malengo kunaonyesha uhai wako ulipo! Haitakiwi kukata tamaa Kama bado unaishi, kubali kukubaliana na mambo usiyo kubaliana nayo ili kuweka amani! Nafsi ya mtu mwingine sio yako! Hata Kama ni mkeo usitegemee mazuri sana kutoka kwake! Nimejifunza Kua mtu wa wastani!
 
Moja wapo Nilichojifunza:
kuna kobe na sungura sungura anakimbia kobe ananyata ila wote hufika wanapoenda. Nini namaanisha njia ya mwenzio kufanikiwa isikutie hofu na wewe kutaka kupita njia ile ile ni kujipanga na kuangalia nafasi nyingine wanasema mlango mmoja ukifungwa mingine inafunguliwa

Maisha hayana 'fomula' ngoja niishie hapa maisha yamenifunza mengi
 
Hata mimi naamini katika hilo kwamba elimu ni ufunguo wa maisha,ukiwa na elimu una silaha muhimu ya kupigania maisha.Hata kama hutopata ajira una knowledge ya kufanya mambo ya msingi…Hongera kwa mafanikio yako rafiki!
 
Mmh, nipo bwana sasa hivi namfulia paw na mzee Mtambuzi hapa. Yaani kuwa working class sio mchezo manake hapa mshahara ni ugali, nanihii na baraka za mshua.

ntakuja mpwapwa kula zile nyama mbichi

mwanangu kua uyaone! Ulifkr magorofa? Lol. Karibu mpwapwa mkwe, kuna nyama za foil.
 
Last edited by a moderator:
This is absurd! OLDSCHOOL AT ITS HIGHEST!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…