zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
ngoja tumuulize Mamndenyi.Nikiwa kwenye Mishe mishe zangu,Gafla nakutana na kundi la vijana 2 na wadada 3,wakijadili uaminifu katika mahusiano,Mchangiaji mmoja akasema wote si Ke Wala Me vicheche tu kasoro wale Wadada wenzetu Wenye VITOVU VIKUBWA wao huwa waaminifu sana...
Hujiamini sana wanapokuwa kwenye Mahusiano,Pia Hawapendi kuruka ruka hyo itawafanya kujulikana kuwa anakitovu kikubwa yeye hudumu na Mmoja....
Je wewe unasemaje?
Nikiwa kwenye Mishe mishe zangu,Gafla nakutana na kundi la vijana 2 na wadada 3,wakijadili uaminifu katika mahusiano,Mchangiaji mmoja akasema wote si Ke Wala Me vicheche tu kasoro wale Wadada wenzetu Wenye VITOVU VIKUBWA wao huwa waaminifu sana...
Hujiamini sana wanapokuwa kwenye Mahusiano,Pia Hawapendi kuruka ruka hyo itawafanya kujulikana kuwa anakitovu kikubwa yeye hudumu na Mmoja....
Je wewe unasemaje?
Ile ni ngiri ya kitovu inayotokana na uhafifu wa kuta za maumbile ya matumbo yao toka wanaumbwa hivyo kupelekea mpenyo kwenye kitovu.Hivi kitovu kuwa kikubwa husababishwa na nini?
Hivi kitovu kuwa kikubwa husababishwa na nini?
Hata wanaume wenye vibamia waaminifu sana kwenye ndoa
he he....bamii weeee....
Mbona umesangaa! Ndiyo kusema huna mtandao wa vibamia? Yaani mtandao wako ni mkonowatembo au niaje?
Maanake unazarau bamia!
Ipo siku mwingine atakuja na utafiti wa kusema Wanawake waliokeketwa ni waaminifu zaidi kwenye mahusiano na Pia wanaume wasiotahiliwa ni waaminifu zaidi kwenye mahusiano.
Kwanini? Kushindwa kujiamini au kukwepa aibu ya kushangawa na watu kutokana na maumbile yao.
Mbona umesangaa! Ndiyo kusema huna mtandao wa vibamia? Yaani mtandao wako ni mkonowatembo au niaje?
Maanake unazarau bamia!
teh teh... yawezekana mtandao wake ni wa MATANGO PORI.....
sijadharau shem....mi huwa napenda neno...'bamiyaa'.....
Ile ni ngiri ya kitovu inayotokana na uhafifu wa kuta za maumbile ya matumbo yao toka wanaumbwa hivyo kupelekea mpenyo kwenye kitovu.
Kitaalam wanasema
''Umbilical hernia''