FUNGUKA funguka:Wadada Wenye Vitovu vikubwa Waaminifu sana kwenye Mahusiano...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Nikiwa kwenye Mishe mishe zangu,Gafla nakutana na kundi la vijana 2 na wadada 3,wakijadili uaminifu katika mahusiano,Mchangiaji mmoja akasema wote si Ke Wala Me vicheche tu kasoro wale Wadada wenzetu Wenye VITOVU VIKUBWA wao huwa waaminifu sana...
Hujiamini sana wanapokuwa kwenye Mahusiano,Pia Hawapendi kuruka ruka hyo itawafanya kujulikana kuwa anakitovu kikubwa yeye hudumu na Mmoja....

Je wewe unasemaje?
 
hahaha,JF kuna mambo....mimi wote niliowahi kukutana nao hawana "matochi"...na ni waaminifu tu.....wale mliokutana na matochi,tuambieni
 
Nikiwa kwenye Mishe mishe zangu,Gafla nakutana na kundi la vijana 2 na wadada 3,wakijadili uaminifu katika mahusiano,Mchangiaji mmoja akasema wote si Ke Wala Me vicheche tu kasoro wale Wadada wenzetu Wenye VITOVU VIKUBWA wao huwa waaminifu sana...
Hujiamini sana wanapokuwa kwenye Mahusiano,Pia Hawapendi kuruka ruka hyo itawafanya kujulikana kuwa anakitovu kikubwa yeye hudumu na Mmoja....

Je wewe unasemaje?
ngoja tumuulize Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:

Haijalushi mkuu... mbona kuna watu wana kasoro kibao ila ni vicheche balaa!!!
 
Ipo siku mwingine atakuja na utafiti wa kusema Wanawake waliokeketwa ni waaminifu zaidi kwenye mahusiano na Pia wanaume wasiotahiliwa ni waaminifu zaidi kwenye mahusiano.

Kwanini? Kushindwa kujiamini au kukwepa aibu ya kushangawa na watu kutokana na maumbile yao.
 
Hivi kitovu kuwa kikubwa husababishwa na nini?
Ile ni ngiri ya kitovu inayotokana na uhafifu wa kuta za maumbile ya matumbo yao toka wanaumbwa hivyo kupelekea mpenyo kwenye kitovu.
Kitaalam wanasema
''Umbilical hernia''
 
Utafiti wako huo una logic kabisa.
Kwa mfano:
1/Ni jambo la kawaida siku hizi kuona wasichana wakitembea huku wakionyesha vitovu wazi kwa ufahari kama ishara ya Urembo au mvuto although kuweka kitovu hadharani sio ustaarabu wa kitabia.

2/Huwezi kukuta msichana mwenye kitovu kikubwa akikiweka wazi hadharani, hii ni ishara kwamba kinaogopesha na hakivutii hivyo inabidi afiche although kuficha kitovu ni ustaarabu wakitabia.
 
Ipo siku mwingine atakuja na utafiti wa kusema Wanawake waliokeketwa ni waaminifu zaidi kwenye mahusiano na Pia wanaume wasiotahiliwa ni waaminifu zaidi kwenye mahusiano.

Kwanini? Kushindwa kujiamini au kukwepa aibu ya kushangawa na watu kutokana na maumbile yao.

Si ndo hapo!!!
 
teh teh... yawezekana mtandao wake ni wa MATANGO PORI.....

Duuh ! Hivi mna utani na Preta? Sasa hii ya Tango pori hii !
Yaani ungejua tango pori lilivyo aisey!
Linavyotisha! Dooh!
Mpaka mie naona aibu yaani Tango? Tena la porini ? Asavali hata lingekua la mjini ! Nway mwenyewe si yupo?
Hebu tumsubiri aijibu hii .
 
Last edited by a moderator:
Ile ni ngiri ya kitovu inayotokana na uhafifu wa kuta za maumbile ya matumbo yao toka wanaumbwa hivyo kupelekea mpenyo kwenye kitovu.
Kitaalam wanasema
''Umbilical hernia''

Duh hii nilikia siifahamu, yaani nakumbuka nikiwa mtoto tulikua na kawaida ya kuwachokoza sana watoto wenye vitovu vikubwa...ukimwona kashangaa shangaa unaenda kukibonyeza...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom