"Fungua Kampuni Badala ya Jina la Biashara"

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
126
Reaction score
186
Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana.

Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA.

1. Limited liability
Kampuni ni legal person na inajitegemea kutoka kwa Mmiliki wake, hivyo kwenye event kama ya kulipa mikopo Mali zako binafsi hazitauzwa kulipa madeni ya Kampuni.

2. Trust
Watu au taasisi kubwa huamini zaidi Kampuni kuliko biashara binafsi. Ukiwa na Kampuni ni rahisi kupata mikopo, tender kubwa au partnerships.

3. Urahisi wa kupata Mitaji
Ukiwa na Kampuni ni rahisi kupata Mitaji kwa kuuza hisa za Kampuni au kupata mikopo kwa jina la Kampuni.

4. Kuendelea kwa biashara hata Mmiliki akipoteza maisha.
Tumeona events nyingi ambazo biashara hufa pindi anapokufa Mmiliki, lakini Kampuni nyingi zinaweza ku survive bila uwepo wa Mmiliki.

5. Kushiriki tenda na mikataba ya serikali na taasisi za kimataifa.

Hey naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni na biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi 0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Elezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.

Kumbuka ukifungua kampun utatakiw kuw na muhasibu wa kampuni.

Kumbuka utatakiwa kuwa unajaza ma sdl na payee kila kabla ya tar 07 ya mwezi. Na hapo ukikosa kujaza penalty ni kufuru sana.

Sasa kwa mtu ambae anaanza kazi kipato kidogo, kuwa na kampun inatesa sana.
 
Ni kweli unatakiwa kujaza SDL na PAYEE kila mwezi, uzuri ni kwamba unaweza kujaza O na unaweza kujaza mwenyewe, hii haihitaji hata muhasibu.
 
Kweli unaweza kulifa mwenyewe, ila kwenye swala lamuhasibu ni kipengele. Kufanya mahesabu ya kila mwaka ili ukadiliwe kodi kodi ni vipengele sana kwa mtu anaeanza biashara.
 
Kwa sheria zetu sidhani kama ni wazo zuri kukimbilia kusajiri na kumiliki kampuni utaaibika.
 
Kama hujajipanga kifedha na kiakili usijaribu kabisa kufungua kampuni hasa nchini Tanzania. Utajiingiza kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Anza mdogo mdogo na business name then biashara itafika sehemu naturally itakuambia inahitaji iwe kampuni. Sio jambo la ku-force... ila kama una michongo yako hasa kwa wale wenye wajomba wafanya maamuzi sajili tu kampuni ili uweze kupewa dili za maana.
 
Elezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.

Kumbuka ukifungua kampun utatakiw kuw na muhasibu wa kampuni.6

Kumbuka utatakiwa kuwa unajaza ma sdl na payee kila kabla ya tar 07 ya mwezi. Na hapo ukikosa kujaza penalty ni kufuru sana.

Sasa kwa mtu ambae anaanza kazi kipato kidogo, kuwa na kampun inatesa sana.
Hili ndio jambo lilinifanya nighairishe kuanzisha kampuni badala yake nikaanzisha Business name.
Kuanzisha Limited Company inahitaji constant cashflow yenye uhakika na pia inahitaji muda mwingi kuandaa mambo ya kodi vinginevyo mbeleni unajitia kitanzi kwa faini
 
Elezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.

Kumbuka ukifungua kampun utatakiw kuw na muhasibu wa kampuni.

Kumbuka utatakiwa kuwa unajaza ma sdl na payee kila kabla ya tar 07 ya mwezi. Na hapo ukikosa kujaza penalty ni kufuru sana.

Sasa kwa mtu ambae anaanza kazi kipato kidogo, kuwa na kampun inatesa sana.
Hii si inategemea kampuni yako imeajiri watu au haija ajiri watu, kama hauja ajiri watu hizi mambo za SDL,Nssf, paye hazipo
 
Kwa hiyo inawezekana kuwa na kampuni isiyo na waajiriwa?Yaani kampuni iwe na Wakurugenzi tu na hamlipani mishahara?
 
Back
Top Bottom