Salaama mkuu...
Kibo10 kuna na manesi bana nao wapo wengine ukiingia kwenye anga zao na akiwa ana hasira hajalipwa mshahara wake utajuta sindano utaisikilizia aise dikembe poa sana mkuu ila si uliona ushauri wake ulikusaidia sana na sasa unajivunia mafanikio yake[/QUOT]
Yah..ila alikua mnoko sana , prepo alitaka mwisho saa nne, halafu tukalale.....mpaka watu tukahisi huyu mtu anataka tuishia six? Ila tunamshukuru Mungu maisha yaliendelea na sasa tunamkumbuka kama hivi.
View attachment 165234Hii staili ya kuangalia lazima inakukumbusha kama sio dingi yako mnoko mnoko basi babu au anko au ticha
Kibo10 kuna na manesi bana nao wapo wengine ukiingia kwenye anga zao na akiwa ana hasira hajalipwa mshahara wake utajuta sindano utaisikilizia aise dikembe poa sana mkuu ila si uliona ushauri wake ulikusaidia sana na sasa unajivunia mafanikio yake[/QUOT]
Yah..ila alikua mnoko sana , prepo alitaka mwisho saa nne, halafu tukalale.....mpaka watu tukahisi huyu mtu anataka tuishia six? Ila tunamshukuru Mungu maisha yaliendelea na sasa tunamkumbuka kama hivi.
dikembe ushamtafuta ukampelekea hata sabuni kaka au hata hela ya kuwalisha watoto wake siku moja aise kumpa shukrani kukufikisha hapa ulipo