Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 384
- 755
ChurchLeo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi
Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na pale anapopata msukumo kutoa fungu la kumi anatoa, akataja maeneo kadhaa ambayo yeye binafsi anatoa kama kwa wayatima, ununuzi wa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa madhabahu za ibada nk
Nilijaribu kusoma mawazo ya watu kupitia comment wengi walimpongeza na wengine walimbeza , mimi binafsi nampongeza kwa kutoa fungu la kumi bila kuja mbinu anayotoa
Je wewe fungu lako la kumi unapeleka wapi ?
Fungu La Kumi Nisaidien Hata 5k Ya Kula Leo Sina KituLeo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi
Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na pale anapopata msukumo kutoa fungu la kumi anatoa, akataja maeneo kadhaa ambayo yeye binafsi anatoa kama kwa wayatima, ununuzi wa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa madhabahu za ibada nk
Nilijaribu kusoma mawazo ya watu kupitia comment wengi walimpongeza na wengine walimbeza , mimi binafsi nampongeza kwa kutoa fungu la kumi bila kuja mbinu anayotoa
Je wewe fungu lako la kumi unapeleka wapi ?
Fungu la kumi (Zaka) ni sehemu ya asilimia 10 (10%) ya mapato au mazao ambayo waumini katika baadhi ya dini, hasa Ukristo na Uyahudi, hutoa kwa ajili ya kazi za Mungu, kusaidia watumishi wa dini, na kuwahudumia wahitaji.Fungu la kumi ni nini?
Ok, nimeelewa.Fungu la kumi (Zaka) ni sehemu ya asilimia 10 (10%) ya mapato au mazao ambayo waumini katika baadhi ya dini, hasa Ukristo na Uyahudi, hutoa kwa ajili ya kazi za Mungu, kusaidia watumishi wa dini, na kuwahudumia wahitaji.
Acheni utapeliLeo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi
Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na pale anapopata msukumo kutoa fungu la kumi anatoa, akataja maeneo kadhaa ambayo yeye binafsi anatoa kama kwa wayatima, ununuzi wa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa madhabahu za ibada nk
Nilijaribu kusoma mawazo ya watu kupitia comment wengi walimpongeza na wengine walimbeza , mimi binafsi nampongeza kwa kutoa fungu la kumi bila kuja mbinu anayotoa
Je wewe fungu lako la kumi unapeleka wapi ?
GoodMimi fungu langu la 10 anakula Bimkubwa. Si haba, miaka michache inayo atatimiza karne moja ya kuwepo hapa duniani.
Hizi zote ni mbinu za wajanja Kupiga hela Za maskiniWakuu embu tuwe waelewa na turuhusu akili zetu zifanye kazi. Fungu la 10 kutoa ama kutotoa sio kosa. Fungu la 10 pia inafahamika kama Zaka.
Zaka yaani fungu la 10 ilikuwa ni SHERIA kwa wana wa Israel. Ilikuwa ni lazima itolewe kwa kila Myahudi. Na ilikuwa inatolewa ili kuwezesha makuhani, kusaidia wahitaji nk haikuwa ni pato la mtu mmoja binafsi kama ilivyo leo ktk makanisa mengi hasa ya kipentecoste.
Agano jipya linafafanua kwa habari ya mtu kutoa kwa HIYARI, kile ambacho MOYO wako kinakupa amani kutoa kwa ajili ya Mungu na sio SHERIA tena kama ilivyokuwa kwa Wayahudi na ndio maana kuna mkanganyiko ndani ya makanisa, madhehebu, kuna wanaoamini ktk ZAKA na kuna wanaoamini kwamba Mungu ameruhusu mtu atoe kwa Moyo kama lisemavyo agano jipya.
Ni 10% ya kipato chako, mfano kipato chako kwa Mwezi ni 500,000, Fungu la Kumi unalotakiwa kumpa Mungu ni 50,000 hii unatakiwa kuitenga kabla hujafanya jambo lingine utapeleka unakosali kama ni Kanisani au Msikitini au kwa Watoto Yatima, Wagonjwa n.k.Fungu la kumi ni nini?
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.Hizi zote ni mbinu za wajanja Kupiga hela Za maskini
Wewe ndio unapangia watu kwa kuwapa mistari ya Historia uliyosimukiwa na wajanjaaKila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
2 Wakorintho 9:7
Unawekaje mipango kwenye sadaka za watu, kila mmoja atende kama anavyosikia moyoni , mwenye kupeleka kanisani mwache apeleke kanisani, mwenye kutoa kwa wazazi mwache afanye hivyo na yule ambaye anatoa kwa maskia pia, tunakuwaje waamuzi juu ya matumizi ya fedha za watu
Kil
Kwa masikini ninaowashudia kwa macho yangu.Leo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi
Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na pale anapopata msukumo kutoa fungu la kumi anatoa, akataja maeneo kadhaa ambayo yeye binafsi anatoa kama kwa wayatima, ununuzi wa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa madhabahu za ibada nk
Nilijaribu kusoma mawazo ya watu kupitia comment wengi walimpongeza na wengine walimbeza , mimi binafsi nampongeza kwa kutoa fungu la kumi bila kuja mbinu anayotoa
Je wewe fungu lako la kumi unapeleka wapi ?
Mtu akisoma kwa umakini Biblia, atagundua kwa sasa hakuna umuhimu wa kulipa fungu la kumi isipokuwa mtu anawiwa kusaidia shughuli za dini pamoja na wahitaji.Fungu la kumi (Zaka) ni sehemu ya asilimia 10 (10%) ya mapato au mazao ambayo waumini katika baadhi ya dini, hasa Ukristo na Uyahudi, hutoa kwa ajili ya kazi za Mungu, kusaidia watumishi wa dini, na kuwahudumia wahitaji.
Nikizidisha au nikipunguza Kuna shida?Ni 10% ya kipato chako, mfano kipato chako kwa Mwezi ni 500,000, Fungu la Kumi unalotakiwa kumpa Mungu ni 50,000 hii unatakiwa kuitenga kabla hujafanya jambo lingine utapeleka unakosali kama ni Kanisani au Msikitini au kwa Watoto Yatima, Wagonjwa n.k.