Fungate la sosoliso

Kisa cha kuondoka bila kuniaga una maanisha nini? Nimepewa habari kuwa kuna kajamaa kakutorosha

Treat ya kwanza tu akuchekie oil kweli ataacha kutoroshwa
Kuna haja ya kuanzisha bedroom party kwa wanaume
 
Ngoja nimiulize shansarie kama anaujua ule msemo wa abiria chunga mzigo wake.. Nishaona hapa fisi anataka kukabidhiwa mzoga..

Mi sina wasi acha wapetiane funguo husika ninazo mm
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…