Jamani hunie nimemisi mie lol.. Hebu niwhtsapp bathi.. Ninasikia kama mshindo waja..
Yaani mi nilizani ni hanemuuni , kumbe fungate.
Unataka kuja kuujaribu mshindo shansarie..?
Tukaguliwe nini ati Baba V..? Kifanyio ninacho na mke wangu Paloma kifanywa anacho..
Mhh Arabela hii ndo yako na nitonye ni noni stata lol.. nitonye alitumia nguvu nyingi sana kukupata kiasi ulivyosema yesi tu nguvu zote zikawa zimemuisha na aliporudi kwa yule mganga ili kupata dawa ya kuongeza nguvu akapishana na wanakijiji wakiwa wamebeba jeneza lenye maiti ya yule mganga.. nitonye kapagawa mpaka leo..
Huyu wangu hata sikupi hajazoea mapenzi ya dijitali
Unataka kuja kuujaribu mshindo shansarie..?
Mishindo yakupitia kwenye nyaya za umeme mi siiwezi hata mimba ya Paloma ilipatikana kwa njia tata embu check anavoteseka maskini ndo maana nimeomba Baba V awakague upya. Nina wasi na kifanyio chako chaji yake si halali
View attachment 137699
muuzile Passion Lady atakupa feedback....................
muuzile Passion Lady atakupa feedback....................
Mnashare mume? Passion Lady kuja kipandee hii
Tatizo ndoa ya nitonye na Arabela ilianza hivi sasa unafikiri mwisho wake utakuaje
View attachment 137698
Mnashare mume? Passion Lady kuja kipandee hii
Anamaanisha ukitaka kujua abauti mi muulize Passion Lady my smolu hauzi.. Mpaka Ruttashobolwa analia huko lol..
Anamaanisha ukitaka kujua abauti mi muulize Passion Lady my smolu hauzi.. Mpaka Ruttashobolwa analia huko lol..
Hahaha kumbe hujaachaga kudukua we ni nnoma asee
View attachment 137662
Katika kupitia pichapicha za harusi ya sosoliso na Paloma nikakutana na hii picha hapo ilikuwa ni siku ya kwanza ya fungate.
Waweza pata picha hii ndoa iko na hali gani sasa.
Cc Baba V Arushaone inabidi hii ndoa ifanyiwe ukaguzi upya