FUNGA MWAKA NA JF 2016

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Wakat tunaelekea kufunga mwaka 2016 kama mwana jf kwa pamoja hebu tukumbushie matukio yalivuma sana Tanzania na ulimwenguni kiujumla . hebu wewe unakumbuka lini

Mimi langu nakumbuka langu nakumbuka kauli ya mh Raisi kumtumbua mkurugenzi wa jiji la Dar mbele ya hadhara pale daraja la Kigambon kwa kuchongewa na makonda. Baadaye Mzee wa watu Akafa
 
Back
Top Bottom