Funga kazi kwa ajli ya vodafone k3565-z and k3570-z zte modems "the best solution"

<br />
<br />
mkuu kunauwezekano nikufuate unisaidie kuifanya hii kitu!!!kama ndio gharama zako zikoje??na unapatikana wapi??
 
<br />
<br />
mkuu kunauwezekano nikufuate unisaidie kuifanya hii kitu!!!kama ndio gharama zako zikoje??na unapatikana wapi??
Duuh mkuu naona apo nimejaribu kuelezea kwa kina sana lakini kama haujaelewa powa mie nko dar ucjal stakuchaj kitu coz hii procedure ni fast and easy labda subiri nitatengeneza video tutorial A-Z sasa apo naona utaweza elewa na kufanya mwenyewe... DUUUUH!
 



mkuu shukrani sana, nimejaribu na nimefanikiwa kuiconfigure na sasa natumia line zote tu. tatizo nikiweka modem inaanza kufungua join air then shortly inafata vodafone dashboard, naexit vodafone nabakiwa na join air, ila nikiweka line ya voda inafungua join air dashboard only - hapo nofanyeje mkuu. tatizo lingine neno system halipo ktk settings za dashboard
 
dah! Shukran mkuu maana,nilichoka na mb 250 kwa elfkumi,bt nw najiachia na mb400 Kwa sh2500.bravo!bravo!
 
dah! Shukran mkuu maana,nilichoka na mb 250 kwa elfkumi,bt nw najiachia na mb400 Kwa sh2500.bravo!bravo!

kiukweli kote nimemuelewa ila hapo ktk kudownload tu ndo nimechemka....kwa maelezo yako inaonekana mwenzangu umemuelewa so help me plz
 
kaka naje thanks for that!

pia kuna njia ya kutumia line yoyote bila kuwa na dashboard tofauti

pia kwa watumiaji wa windows seven kwa vista sina uwakika sija wai fanya.unaweza chukuwa moderm ya zte uka install kama kawaida software ya voda .na unapochomeka moderm yako na line nyingine kwa ajili ya kutumia software ya voda ita tokea na ita kuambia SIM NOT RECOGNIZED.chakufanya we minimize hiyo software,afu nenda kwenye TASK BAR kwenye kidubuasha cha kuonesha kama internet au network imeunga ina kialama cha computer au bar kama network ya simu iko karibu na kiji symbol ya berti bonyeza utaona jina la line ulio weka kwenye moderm yako kama ni tigo ,zantel au airtel ibonyeze nayo utaona neno connect ,afu connectutakuwa umejiunga na huduma ya internet cha kufanya usi funge hiyo software ya voda ukifunga net inakata nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…