samael23
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 331
- 441
"Hata wale polisi walioshikwa kwa wizi wa dhahabu walizokuwa wanasindikiza,ukiwaangalia kwa macho utagundua, Mkurugenzi wa Mashtaka amewaachia huru na mimi nimeagiza warudishwe kazini, lakini liwe fundisho kwa askari wanaopenda rushwa"- JPM
#MagufuliKongwa
#MagufuliKongwa