Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Salaam wanaJF. Pole yetu sote kwa ajari nne mfululizo zilizopoteza uhai wa watanzania wenzetu na kuondoa nguvu kazi ya Taifa letu. Ajari ya kwanza ni ya kule Karatu Mkoani Arusha ambayo imepoteza wanafunzi wetu 35 na walimu wao wawili, ajari ya pili ni ya basi la BM linalofanya safari zake kati ya Arusha na Morogoro lilogonga waendesha baiskeli 2, ya tatu ni basi lingine huko Mvomero Morogoro lililogongana na lori na kupoteza watu 3 na ya nne ni ile ya basi la Lushanga lilopoteza watu 2 huko Muheza tanga.
Jumla ya ajari ndani ya siku 2 ni 4 na zimeondoa watu 42. Zimeondoa nguvu kazi.
Yafuatayo ni makosa ambayo yanaweza kuchangia kwa ajari nyingi kutokea kizembe sana:-
1. Ubovu wa vyombo vya moto
2. Uzembe wa madereva. Kuendesha wamelewa, wako pupa, hawafuati alama za barabarani, kuondesha huku wakiongea sa simu, kuendesha kwa mbwembwe na speed kali.
Hasa mabasi, utakuta dereva wa basi anapiga stori na konda wake mwanzo mwisho wanachekaaa gari ikiwa speed sana. Huu ni upuuzi mkubwa sana.
3. Askari wa usalama barabarani kuna wakati wanaregeza kamba barabarani. Wanawaonea huruma madereva either kwa kufahamiana au kitu kidogo. Unakuta gari imejaza mno, tairi zimeisha halafu dereva anapigwa faini na kuruhusiwa kuondoka.
4. Barabara zetu nazo ni nyembamba katika baadhi ya maeneo na haziko smooth, zina mawimbi mawimbi sana
5. Stress na ugumu wa maisha husababisha dereva kuendesha gari huku akiwaza watoto wale nini, mambo ya vyeti feki, ada za watoto nk.
USHAURI:
1. Traffic kazeni kamba sana. Kamata gari zote scraper weka kituoni
2. Camera zifungwe kila gari kumonitor madereva popote walipo
3. Madereva kuacha pombe, masihara, mbwembwe, ujana, simu nk.
Tusishike vyombo vya moto tuwapo na stress.
Asanteni