Fundikiller; Malaika wa kifo

Mekumiss chamdeko wangu jamani... Dah la mkuu lilitaka kunipa hut attack
@mshanjr
Utata wa nini kila leo
Wafunga ndindindi tu
Kufungua ndo gumzo
Mzozo watamalaki tu
Mitu wabishana maana
Hut Attack maanaye
Mara Fundikiller kisa
Nani kuumiza kichwa?

Mshana acha fasihi
Hamia jukwaa pendwa
Andika malovidavi kule
Watu wafurahiye maisha
Jamvi la siasa una mada
Mada ngumu fikirishi tu
Nasi twataka burudani
Mambo mepesi laini
Yanini kuumiza bongo
Mshana punguza utata

Bazazi
 
Hii inafaa kwenda studio
 
Fundikiller jifunze kwa watangulizi wako... Wakati si milele.... Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako.
 
Mtangulizi pia alikuwa Fundikiller ila alikuwa mwerevu ndio maana anaishi kwa amani na furaha mpaka sasa pamoja na kuvurunda kote kule .. Unajua ni kwanini?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…