hahaha, mbili ya mwezi wa tatu
akitoka hapo akanuniwe wee au kuhongaKweli wanaume tumeumbiwa mateso..
Ukimkuta baa na kidosho anahonga huwezi kumjua huyo.Kweli wanaume tumeumbiwa mateso..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji13] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji84]Huyu sio fundi aisee ni mpare amedondosha shilingi mia ndio anaitafuta sasa
[emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lazima akuulie mbali.Pesa ya jamaa kama huyu, uile halafu umzungushe, aisee.