bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,977 Jul 23, 2025 #1 Habari wadau humu! Hii kazi unaipa marks ngapi?
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,220 Reaction score 20,981 Jul 23, 2025 #2 Huko hamuweki Hizo nyaya kwenye mabomba?
L LessKnown JF-Expert Member Joined Oct 24, 2024 Posts 207 Reaction score 254 Jul 23, 2025 #3 Da, fukuza kabisa huyo
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,852 Reaction score 58,642 Jul 23, 2025 #4 Hapo kama ni 10/10 jamaa nampa 3
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,597 Reaction score 9,547 Jul 23, 2025 #5 Karne said: Huko hamuweki Hizo nyaya kwenye mabomba? Click to expand... Huo ndio mfumo wa kisasa, AI inazidi kuimarika .
Karne said: Huko hamuweki Hizo nyaya kwenye mabomba? Click to expand... Huo ndio mfumo wa kisasa, AI inazidi kuimarika .
J Joseph Mdachi Member Joined Sep 12, 2024 Posts 17 Reaction score 13 Jul 23, 2025 #6 Fundi,hiyo ni aina Gani ya wiring ?
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,977 Jul 23, 2025 Thread starter #7 Poor Brain said: Hapo kama ni 10/10 jamaa nampa 3 Click to expand... Kwanini?hakuna conduit?
H Hechy Essy JF-Expert Member Joined Mar 30, 2023 Posts 866 Reaction score 3,285 Jul 23, 2025 #8 bukoba boy said: Habari wadau humu! Hii kazi unaipa marks ngapi? View attachment 3415714 Click to expand... Hiyo ni hatari ndg, ungetumia tu single wire uweke ndani ya bomba. Panya akianza kula hizo nyaya, itakuwa ni shida nyingine (inaweza ikaunguza hata nyumba yenyewe) Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
bukoba boy said: Habari wadau humu! Hii kazi unaipa marks ngapi? View attachment 3415714 Click to expand... Hiyo ni hatari ndg, ungetumia tu single wire uweke ndani ya bomba. Panya akianza kula hizo nyaya, itakuwa ni shida nyingine (inaweza ikaunguza hata nyumba yenyewe) Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane