Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 92
Wakuu wanabodi, nina shida na fundi wa dispensa ya maji. Kama kuna fundi humu au mtu anayemfahamu fundi anisaidie tafadhali. Ninatanguliza shukrani kwa msaada wenu
Dah kuna Mzeee tulikua tunamtumia sana ofisini kwetu ila sikuwahi kuisevu namba yake, ngoja nijaribu kuwasiliana na watu wa ofisini kwangu kwa zamani, ntakutumia nikiipata, Uko Dar? usiwe ukawa unahitaji Fundi Dispenser kumbe uko Mara hahahahaa joking Mpwa, ngoja kupambazuke kidogoDah naona wote mmenichunia. Sitaki kuamini kwamba humu kweli hakuna hata mmoja ambaye anashindwa kunisaidia. Ila poa tu. Upendeleo wa wazi kabisa na hata ma admin hawalioni hili...lol
Wakuu wanabodi, nina shida na fundi wa dispensa ya maji. Kama kuna fundi humu au mtu anayemfahamu fundi anisaidie tafadhali. Ninatanguliza shukrani kwa msaada wenu
Ni brand gani? Bado ipo?Nauza water dispenser bado mpya bei 150000
Bado ipo ni Super GeneralNi brand gani? Bado ipo?
Hilo ni jipu mkuu huyo fundi sio mwenyeweNikiri tu kwamba nilifanya uzembe maana tokea nimeinunua ilikuwa haipoozi maji, nikaona uvivu kuirudisha nikiamini labda ilikaa sana dukani hivyo gesi imeisha, maji ya moto yakawa yanapatikana vizuri. Majuzi nimempelekea fundi kaniambia gesi imeisha, kajaza gesi nimerudi nyumbani hali ni kama ile ya mwanzo maji ya moto napata ila haipoozi. Hivyo hata huyu fundi sioni alichonisaidia
Nipe hela uchukue hii ni mpya nilipewa zawadi ya harusi sasa mm nina friji niliiwasha siku mbili tuNikiri tu kwamba nilifanya uzembe maana tokea nimeinunua ilikuwa haipoozi maji, nikaona uvivu kuirudisha nikiamini labda ilikaa sana dukani hivyo gesi imeisha, maji ya moto yakawa yanapatikana vizuri. Majuzi nimempelekea fundi kaniambia gesi imeisha, kajaza gesi nimerudi nyumbani hali ni kama ile ya mwanzo maji ya moto napata ila haipoozi. Hivyo hata huyu fundi sioni alichonisaidia
Hebu tuchekiane 713393061Nipe hela uchukue hii ni mpya nilipewa zawadi ya harusi sasa mm nina friji niliiwasha siku mbili tu