Z zaraki kenpachi Member Joined Oct 26, 2018 Posts 22 Reaction score 27 Jun 15, 2025 #1 Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 7,832 Reaction score 20,839 Jun 15, 2025 #2 Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,,
Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,,
Z zaraki kenpachi Member Joined Oct 26, 2018 Posts 22 Reaction score 27 Jun 15, 2025 Thread starter #3 kitalembwa said: Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,, Click to expand... Ndo maana nikaja kupata muongozo ili niwe salama
kitalembwa said: Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,, Click to expand... Ndo maana nikaja kupata muongozo ili niwe salama
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 2,116 Reaction score 4,884 Jun 15, 2025 #4 Upo maeneo gani?
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 3,074 Reaction score 7,523 Jun 15, 2025 #5 Kama upo Dar mcheki huyu +255674868809 anaitwa Hakika, ni fundi mzuri sana
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,261 Reaction score 2,898 Jun 15, 2025 #6 JituMirabaMinne Siku nyingi sijakuona msaidie kijana
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 557 Reaction score 752 Jun 15, 2025 #7 Kama upo dar kalibu airpot dsm ni chek pm issue ina wezekana pia utoe maelekezo ina nyonya wakati gani iyo battery ili nikupate vizuri
Kama upo dar kalibu airpot dsm ni chek pm issue ina wezekana pia utoe maelekezo ina nyonya wakati gani iyo battery ili nikupate vizuri
Z zaraki kenpachi Member Joined Oct 26, 2018 Posts 22 Reaction score 27 Jun 16, 2025 Thread starter #8 danhoport said: Upo maeneo gani? Click to expand... Goba
Z zaraki kenpachi Member Joined Oct 26, 2018 Posts 22 Reaction score 27 Jun 16, 2025 Thread starter #9 kijana wa leo said: Kama upo Dar mcheki huyu +255674868809 anaitwa Hakika, ni fundi mzuri sana Click to expand... Asante sana
kijana wa leo said: Kama upo Dar mcheki huyu +255674868809 anaitwa Hakika, ni fundi mzuri sana Click to expand... Asante sana
K kakolaki JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 1,611 Reaction score 2,018 Jun 16, 2025 #10 kitalembwa said: Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,, Click to expand... Suala dogo hilo, shida hapo ni alternator haifui Umeme kurudisha kwenye betri, shida inaweza kuwa brush au almecha
kitalembwa said: Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,, Click to expand... Suala dogo hilo, shida hapo ni alternator haifui Umeme kurudisha kwenye betri, shida inaweza kuwa brush au almecha