Fundi wa umeme wa gari

Fundi wa umeme wa gari

Joined
Oct 26, 2018
Posts
21
Reaction score
25
Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
 
Kwenye ishu ya fundi umeme wa gari kuwa makini sana ingia gharama tafuta fundi wa kueleweka sio hawa wa kuunga unga,,,
 
Kama upo dar kalibu airpot dsm ni chek pm issue ina wezekana pia utoe maelekezo ina nyonya wakati gani iyo battery ili nikupate vizuri
 
Back
Top Bottom