AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Jun 14, 2013 #1 Naomba msaada kwa anayemfahamu fundi mzuri wa Suzuki Jimmy. Na pia ningependa kupata uzoefu kwa wanaomiliki gari aina hii. Natanguliza Shukrani.
Naomba msaada kwa anayemfahamu fundi mzuri wa Suzuki Jimmy. Na pia ningependa kupata uzoefu kwa wanaomiliki gari aina hii. Natanguliza Shukrani.