Fundi wa Samsung Washing Machine

Fundi wa Samsung Washing Machine

Msiri

Senior Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
124
Reaction score
100
Nina washing machine ( mashine ya kufulia) ambayo tatizo lake ni kuwa haiingizi umeme kabisa. Nimecheki fuse ya plug na ya washing machine, zote ni nzima. Fundi anayeweza kunitengenezea awasiliane nami au kwa kuacha contacts zake hapa nimpigie au anitumie PM. Nipo Dar.
 
Wa

waone freedom electronics ,mtaa wa samora
 
Back
Top Bottom