L Lacute JF-Expert Member Apr 28, 2015 337 163 Jan 16, 2023 #1 Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam. Sifa Nidhamu ya kazi Msikivu Mkazi wa Dar
Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam. Sifa Nidhamu ya kazi Msikivu Mkazi wa Dar
Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,586 11,850 Jan 16, 2023 #2 sasa wanakupataje mkuu au ndo waje pm
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,046 15,387 Jan 16, 2023 #3 Kaka sema aina ya kazi, kama ni ajira, Kuna project, Base ya malipo nk. ili tujue tunaacha workshop zetu tuje? au tukomae
Kaka sema aina ya kazi, kama ni ajira, Kuna project, Base ya malipo nk. ili tujue tunaacha workshop zetu tuje? au tukomae
L Lacute JF-Expert Member Apr 28, 2015 337 163 Jan 16, 2023 Thread starter #5 Mawasiliano 0623 014440
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,726 68,742 Jan 16, 2023 #6 Kituo cha kazi ni wapi? Ferry,Mbutu ,Geza ,Pemba Mnazi ,Mwembe Mdogo ,Buyuni ,Mjimwema ,Ungindoni?
L Lacute JF-Expert Member Apr 28, 2015 337 163 Jan 17, 2023 Thread starter #7 Kuna mawasiliano hapo kwa ajili ya "fundi" mwenye uhitaji na anaeweza kufika kigamboni.